Subcategories
Neno la Mungu
Pia Utapata Kuskia na kutafakari kuhusu Neno la Mungu kwa Mujibu wa vipindi mwafaka vinavyoandaliwa na
- Fr Patrick Munishi,
- Fr Pascal Mwambi,
- Fr Jefferson Mbatia,
- Sr Juliet,
- Makatekista,
- Walimu na Wengine.
Yanayojiri Jimboni
Usikose Pia Kutegea Yanayojiri Jimboni Jimbo Kuu La Mombasa Kila Jumatatu Jioni Na Fadhili Mwambingu ili upate ushauri wa Baba Askofu Mkuu Wetu Martin Kivuva Musonde Na Hbari Nyingine Nyingi.